Dejan Georgijevic - mchezaji mzungu wa Simba

Movements alizofanyanya mzungu hakuna striker aliwahi kuzifanya simba katika kipindi chote cha miaka minne. Tatizo mnaangalia mpira kishabiki tu.
 
Kama kocha atamuanzisha Dejan pamoja na mafundi wa kuassist kama chama,okwa na okra basi jua kuwa huyu jamaa atakuwa tishio...tatizo huwa anamuanzisha second half huku akiwatoa playmakers...sasa atapata wapi pasi za kufunga..halafu hawa kina peter banda na sakho mbona hawalaumiwi kwa magoli wanayokosa??
 
Acheni kutoa macho hata kwa mechi za kawaida tu za kirafiki. Yaani watu wamekereka utadhani Simba imepoteza ubingwa fulani
 
Kocha ameichukulia poa Simba, ataondoka na huyo mzungu. msimu uliopita tulikosa ubingwa kwa ubutu wa foward,msimu huu tena?!!
 
Kocha ameichukulia poa Simba, ataondoka na huyo mzungu. msimu uliopita tulikosa ubingwa kwa ubutu wa foward,msimu huu tena?!!
Msimu huu hatuna ubutu wa foward....moses yupo na viungo wanaojua kufunga
 
Mpira sio kitu rahisi.kwahiyo ni mapema sana kumlaum mchezaji ambaye ndo kwanza timu inatafuta muunganiko.Alafu lazima tujue huyo bwana katoka nje ya nchi kwahiyo sio kitu cha haraka haraka kuzoea mazingira na wenzake.Hata kagere alivyokujaga alianza kwakusua sua ila alikuja kushika moto badae.Tumpe muda japo najua watanzania tuna tatizo la kukosa uvumilivu ata kwenye mambo ambayo hatuyawezi sawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…