Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Movements alizofanyanya mzungu hakuna striker aliwahi kuzifanya simba katika kipindi chote cha miaka minne. Tatizo mnaangalia mpira kishabiki tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukimbia ndiyo nini?Mbona wanasema anakimbia sana uwanjani na hachoki
Ashauriwe akashiriki riadha kwenye mashindano yajayo ya Jumuiya ya Madola huenda akapata MedaliMbona wanasema anakimbia sana uwanjani na hachoki
Mimi ni mzalendoWewe uto kwny Uzi huu umefuata nini...
Msimu huu hatuna ubutu wa foward....moses yupo na viungo wanaojua kufungaKocha ameichukulia poa Simba, ataondoka na huyo mzungu. msimu uliopita tulikosa ubingwa kwa ubutu wa foward,msimu huu tena?!!
Teh tehWengine wanasema mzungu hapewi pass ila ana mikimbio.
Kitu ambacho sio kweliKwahiyo timu yote safi ila tatizo ni mzungu tu?
Hahahaha kocha alishapewa taarifa kuwa nyinyi ni Mambumbumbu kwa hiyo anatumia udhaifu wa umbumbumbu.Kocha ameichukulia poa Simba, ataondoka na huyo mzungu. msimu uliopita tulikosa ubingwa kwa ubutu wa foward,msimu huu tena?!!
Leo hii mnaanza matusi?Kocha ameichukulia poa Simba, ataondoka na huyo mzungu. msimu uliopita tulikosa ubingwa kwa ubutu wa foward,msimu huu tena?!!
Wameamua kumuangushia jumba bovu.Kwahiyo timu yote safi ila tatizo ni mzungu tu?