Hii huduma ni muhimu na ina wahitaji wengi hasa kwenye miji mikubwa kama Dar, Arusha, Mwanza.uhitaji wakusafirisha 🚚bahasha ndogo ndogo
Shukrani mkuu, cha muhimu ni uthubutu na uaminifu mkubwa katika kazi. Nimeanza na gari ndogo moja na pikipiki. Ujana ndo muda wakuchakarika.💪Hii huduma ni muhimu na ina wahitaji wengi hasa kwenye miji mikubwa kama Dar, Arusha, Mwanza.
Vijana waaminifu wajitokeze, wajitangaze na hakika watapata wito wa kazi toka kwa wadau waliopo hayo maeneo.
Hongera kwa kuanziasha hii huduma hapo mbeya/songwe.
Humu jf msiamini kila anayekuja na matangazo ya aina hii, wengi sio watu wazur,Shukrani mkuu, cha muhimu ni uthubutu na uaminifu mkubwa katika kazi. Nimeanza na gari ndogo moja na pikipiki. Ujana ndo muda wakuchakarika.[emoji123]
Duely noted, tatzo kwangu labda liwe kwa mteja tu pembeni na hapo i am a credible freelancer.Humu jf msiamini kila anayekuja na matangazo ya aina hii, wengi sio watu wazur,
Bado kuna kesi nyingi tu wahusika hawajapatika na sources zao ni humu jf
Bado wale watu wa baya wa kipindi cha mchatel wapo kazini so be careful