Dell Inspiron 1525 laptop gone

Dell Inspiron 1525 laptop gone

Andindile

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2009
Posts
304
Reaction score
17
Napenda kuwataarifu kuwa ile laptop imeshanunuliwa. Nawashukuru wote walioonyesha nia ya kuinunua. Pia nawashushuru wale wote waliowataadharisha wenzao kuhusu ufanyaji kazi wa dell inspirons kutokana na uzoefu wao na computer hizo. Yote ilikuwa ni michango mizuri katika kupashana habari ili kuhakikisha kuwa unaponunua kitu basi ufanye decisions ukiwa well informed kuhusu kitu chenyewe.

Asanteni

Andy
 
Back
Top Bottom