Sibishan na mpumbavuπ π π πππ
Kumbe ulikua unajifanya libishi jukwaani, lakin nyuma ya pazia unafuata ushauri wangu.
Hizi ndio computer za kuuza sasa, achana kabisa na ma-HDD dunia inaenda mbele.
Ngoja nikiusaidie kuwaelewesha wateja:
Ndugu wateja, msishangae udogo wa Storage Capacity kumbukeni hii ni SSD na sio HDD tulizozoea.
SSD ndio technology ya sasa, haina moving-parts, iko fast na very reliable.
Chukueni huu mzigo.
RefreshPicha haifunguki
Bei elekezi ipo kwenye post mkuuOk nimeziona ila kwasasa nipo vibaya... Nataka niandae pesa ninunue.... Je niandae shiling ngap naweza pata Pc kwaajili ya matumizi yangu ya nyumbani..
Kiwango cha chini...
Mkuu hujasoma maelezo yangu vizuri... Au wewe sio mfanya biashara wa hizo mamboBei elekezi ipo kwenye post mkuu
Njoo inboxMkuu hujasoma maelezo yangu vizuri... Au wewe sio mfanya biashara wa hizo mambo
ChukuA 3Dell
Core i5 2.50Ghz processor
RAM 4 GB~ Expandable to 16 Gb.
SSD 128GB
Intel Hd graphics
Battery life; 4 to 5 hours
Very slim and portable
Windows 10 ACTIVATED
Microsoft Office ACTIVATED
Price: 470,000/=View attachment 1108693View attachment 1108694View attachment 1108696View attachment 1108697
NOChukuA 3
Ni pm mwisho wako tuyajenge
Ni pm mwisho wako tuyajenge
HDD=SSD=HYBRID ,kwa sasa tuko hapoπ π π πππ