Gentleman96
JF-Expert Member
- Mar 12, 2019
- 912
- 1,670
Storage inaweza kuongezwa?
Available
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Available
NdioStorage inaweza kuongezwa?
Ukiwa unatumia ssd kuna uwezekano wa kuongeza storage? Kama ilivyo hdd unatoa ya 500GB unaweka y 1TB😀 😀 😀 😎😎😎
Kumbe ulikua unajifanya libishi jukwaani, lakin nyuma ya pazia unafuata ushauri wangu.
Hizi ndio computer za kuuza sasa, achana kabisa na ma-HDD dunia inaenda mbele.
Ngoja nikiusaidie kuwaelewesha wateja:
Ndugu wateja, msishangae udogo wa Storage Capacity kumbukeni hii ni SSD na sio HDD tulizozoea.
SSD ndio technology ya sasa, haina moving-parts, iko fast na very reliable.
Chukueni huu mzigo.
Yes ipobado ipo!?
Yes ipobado ipo!?
Unataka nikwambiaje?Generation ya ngapi?. Ila mambo haya ni yaajabu kabisa. Window pekee genuine inauza tsh390000/= ukiweka na office genuine unakuwa imekugarimu 6 laki ma ushee. Lakini hapa MTU anauza kilakitu kipo tena anasema activated kwa 500k.
6500 ndo nini???Mkuu pemben hapo kna 6500,
kna 350k kwenye mfuko wa shart hapa
Kama ina slot ya hdd ndio inawezekana....ila epuka pc za kufungua funguaUkiwa unatumia ssd kuna uwezekano wa kuongeza storage? Kama ilivyo hdd unatoa ya 500GB unaweka y 1TB
Ilo linawezekana?
Chukua wewe kwanzaChukua 250k
SOLDChukua 250k