SOLD: Dell Laptop for Sale

Status
Not open for further replies.
Mkuu pemben hapo kna 6500,
kna 350k kwenye mfuko wa shart hapa
 
Generation ya ngapi?. Ila mambo haya ni yaajabu kabisa. Window pekee genuine inauza tsh390000/= ukiweka na office genuine unakuwa imekugarimu 6 laki ma ushee. Lakini hapa MTU anauza kilakitu kipo tena anasema activated kwa 500k.
 
Ukiwa unatumia ssd kuna uwezekano wa kuongeza storage? Kama ilivyo hdd unatoa ya 500GB unaweka y 1TB
Ilo linawezekana?
 
Unataka nikwambiaje?
 
Ukiwa unatumia ssd kuna uwezekano wa kuongeza storage? Kama ilivyo hdd unatoa ya 500GB unaweka y 1TB
Ilo linawezekana?
Kama ina slot ya hdd ndio inawezekana....ila epuka pc za kufungua fungua
 
Generation ya ngapi ?

Screen size ( Display size )

Imetumika kwa muda gani ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…