- Thread starter
- #21
Kwamba lazima kiwe na Tatizo, ukimaanisha mapungufu? SIO KWELIMkuu acha kukalili ,kwahiyo kila anayeuza kitu lazima kiwe na tatizo, moja ya sababu ni shida binafsi, may be kubadili kifaa awe na kingine kizuri zaidi kwa mahitaji yake nk
Hapa nitakupinga.
Mtu yeyete yule/ mfanyabiashara/hata ww kama uliwah kuuza, lengo lilikuwa kupata Pesa basi.
Umewah kwenda dukan ukamuuliza muuzaji kwanini unauza hii suruali?