Kwamba lazima kiwe na Tatizo, ukimaanisha mapungufu? SIO KWELIMkuu acha kukalili ,kwahiyo kila anayeuza kitu lazima kiwe na tatizo, moja ya sababu ni shida binafsi, may be kubadili kifaa awe na kingine kizuri zaidi kwa mahitaji yake nk
Wewe naye unechengwa chupi, Mimi nilikuwa namuelewesha mwingine we naye wajitia Kati!!Kwamba lazima kiwe na Tatizo,ukimaanisha mapunguf..
Ya 4 hiyo.Gen ya ngapi hio?
4th Gen.Gen ya ngapi hio?
Huna haja ya kutumia lugha mbovu!Wewe naye unechengwa chupi, Mimi nilikuwa namuelewesha mwingine we naye wajitia Kati!
Kubwa sana Kivipi? Screen Display ni 15.6" au unamaanisha dimensions zipi masta?Kubwa sana in size
Hapana Masta, Hii sifanyi Exchange!Nakuongeza pesa Leo nitakua Mwenge pale Dance Club. Kama poa njoo tuyajenge, hiki pia ni screen touch, battery inakaa 5hrs, Haina shida yoyote Ile sema speed na storage ndio sijazipend.
Kubwa sana Kivipi? Screen Display ni 15.6" au unamaanisha dimensions zipi masta?
cheki inbox yako mkuuKama bado ipo naitaka.
Nipe namna ya kukupata
Thanks
PC Bado ipo chief?Heavy Duty Dell Machine
(engineerng design,grphics design & games)
-storage.
ROM/HDD: 1TB
RAM: 16GB DDR4
Processor: Intel Core i7, 2.4Mhz with graphics card.
System: x64 bit-based processor
Screen: 15.6" screen touch
Keyboard: black
Window 10 pro
Battery: 4hrs
Condition: CLEAN.(haina tatizo lolote)
bei: 650KView attachment 2411207View attachment 2411208
Nimekucheki InboxPC Bado ipo chief?
Naitaka tuwasiliane!
Urgently
mbona kuna makaratasi chini ya keyboard?Heavy Duty Dell Machine
(engineerng design,grphics design & games)
-storage.
ROM/HDD: 1TB
RAM: 16GB DDR4
Processor: Intel Core i7, 2.4Mhz with graphics card.
System: x64 bit-based processor
Screen: 15.6" screen touch
Keyboard: black
Window 10 pro
Battery: 4hrs
Condition: CLEAN.(haina tatizo lolote)
bei: 650KView attachment 2411207View attachment 2411208
mbona kuna makaratasi chini ya keyboard?
IpO DELL LATITUDE. 1 TB HDD ,Mzee Baba, naitaka hii .weka number ya simu nikuchek
Dell LATITUDE. njoo uchukue kwa 750,000 nipo mapipa KCMC MOSHI.....CONTACT. 0672701329 , SPECIFICATIONS zinaonekana kwenye pichaPC Bado ipo chief?
Naitaka tuwasiliane!
Urgently