DELLInspiron 5100 Image

DELLInspiron 5100 Image

AljuniorTz

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2009
Posts
544
Reaction score
18
Wadau wa IT

Nahitaji kwa mwenye nayo Image ya Dell Inspiron 5100; nimebanwa mbavu sipumui.

Nimejaribu kuiformat Zile option Keys ktk formatting zinakuwa disabled (eg F8, R, D, n.k.) Nahic image inaweza kunitoa.

Nime-run ERD Commander nimeweza ku-rescue data zote; but kuna wakati nahic kama tatizo ni Key Board yangu ila cna hakika sana maana nimekosa key board nyengine ili nijaribu kuangalia kama tatizo ni hilo. Hata USB key board haiwi supported kabisa (namaanisha wkt wa ku-install windows)

Nawashukuru nyoote kwa msaada mtakaonipatia.

Jioni njema kwenu
 
Back
Top Bottom