#COVID19 Delta variant has wrecked hopes of herd immunity, warn scientist

Unaongea na watz? They can't use their brains most of them to investigate anything wao huwa nikupiga domo tu na kushabikia mambo ambayo wangeweza kusoma na kuelewa.
 
kimeonekana Peru huko ndugu ...... Kazi ipo ..kuna kingine kimeonekana west Africa huko chakuitwa Marbug (Ebola type)
Sasa hii Marburg inaweza kuja kupiga mpaka tukashangaa. Sijuhi kwa nini west african kunakuwa na magonjwa very special sana.
 
Marekani wanaolazwa hospital ni 97% ya wasiochanjwa na wanaokufa ni 99% hivyo huu kwa sasa ni ushahidi tosha kwamba chanjo zina fanya kazi. Sijui miezi mitatu hadi 6 ijayo kama hali itaendelea kuwa hivi au ndiyo booster shot itakuwa muhimu.
Ngoja tusubiri tujue ukweli ni upi na uongo ni upi.
 
Tuogope sana ikifika Omega Variant...
 
Kuchanjwa kunaongeza immunity ya mwili kukabiliana na huo ugonjwa tofauti na kutokuchanjwa.
 
Sasa sijui itakuaje hii mambo
Ndiyo tujue hatujui...Hayati alisha set benchamrk kupitoa Tanzania ukiondoa hofu, ukaongeza local metods vorus anatokomea...Hii mambo ya kuiga wengine ndiyo yalitirudisha nyuma...We have to live with virus na ingeshafikia level ingeshakosa nguvu
 
Kuchanjwa kunaongeza immunity ya mwili kukabiliana na huo ugonjwa tofauti na kutokuchanjwa.
Umeisoma article au unakuja na assertion zako kujipa moyo?
 
Watu wanataka kulazimisha, sisi tulishaweza kui control COVID19 kivyetu vyetu....Kuiga vya watu ndicho kilichotuponza...
 
Tumeliwa mchana kweupe! Kiasi cha wingi Wa virusi vya corona kwa aliyechanjwa na kuambukizwa asiyechanjwa na kuambukizwa hakitofautiani! Mabeberu washapiga pesa tayari, mikataba ya kununua chanjo ishasainiwa tayari!!
Sijui watu wale wale waliobadilika watarudi kutuambia nini....So saad!
 
Hayati John Pombe Magufuli kabla ya kwende zake alituambia kuwa tutamkumbuka, Nadhani hakujua kuwa kauli yake hiyo ilikuwa ni ujumbe kwa Dunia nzima!!.... Bandiko hili linaonyesha kuwa waingeleza wameanza kujuta!. Majuto ni mjukuu.
Serikali za kiafrika ndo kwanza zinalazimisha watu wachanjwe. Kenya wamewapa wafanyakazi wa serikali ultimatum ya siku 13, wachanjwe au wachukuliwe hatua za kinidhamu.
 
Ndiyo tujue hatujui...Hayati alisha set benchamrk kupitoa Tanzania ukiondoa hofu, ukaongeza local metods vorus anatokomea...Hii mambo ya kuiga wengine ndiyo yalitirudisha nyuma...We have to live with virus na ingeshafikia level ingeshakosa nguvu
Hayati Lab yake iko wapi? ana publication yeyote kuhusu hizi mambo?
 
Kumbe ogopa sana dunia inapochoka kukaliwa na watu!!
 

Mkuu yaani seriously you believe taarifa ya the Telegraph!Hawa ni sehemu ya the genocide plan.Kama wewe sio part of the problem,kwa nini usitaafute taarifa za independent media?Do your own research mkuu,do not believe any rubbish.Kwa kutoa ushauri kama huu you are infact participating in the genocide agenda.This is fake news,hakuna Delta Variant,this is con science and fearmongering. Ventilators sio dawa ya respiratory illnesses.Respirators are infact a death sentence!Jamani wake up,these people are after you,they want you dead at any cost.Hizo protocols wanazodai zina arrest C-19 kama zingekuwa zinaponya, cases za C-19 zingekuwepo,hizo zinazoitwa variants si zingekoma?Mbona the situation is becoming worse.Do not be stupid.Ni utapeli utapeli,utapeli mtupu.

The right medication for respiratory illnesses ni Hydroxychloroquine and Ivermectin,but these drugs are purposely being withheld by the establishment so that people may die.Infact some of us are now afraid of hospitals,kwa kuwa in the West people are being killed in hospitals,so as to hype death numbers so as to justify the need for a vaccine.Ni ushetani,ushetani mtupu.Hao hao wanao ambiwa wana C-19 organs zao zinakuwa harvested na kuuzwa!

Prorocols zote zilizopo sasa za C-19 nia sio kusaidia watu,nia ni genocide.Facemasks,ventilators,lockdowns,social diatancing,lockdowns and waste of all the so called C-19 vaccine.

Finally,I hate the use of the word herd in humans,huku ni kutukosea binadamu heshima.Naomba usibebwe na ujinga huu.Follow the following link to see the real agenda for C-19.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…