John Gelas
Senior Member
- Apr 25, 2012
- 168
- 7
Jaman nsaidien wana jamii dem nlienae kila siku ananiomba vocha then anadai ananpenda xana!nfanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakupenda kwa kua unampa hizo vocha.Jaman nsaidien wana jamii dem nlienae kila siku ananiomba vocha then anadai ananpenda xana!nfanyaje?
Muwezeshe mkuu, mpe mwelekeo, we ndio kichwa cha familia mbona unakimbia majukumu kijana?
Unasoma darasa la ngapi? achana nae maliza shule kwanza!
Jaman nsaidien wana jamii dem nlienae kila siku ananiomba vocha then anadai ananpenda xana!nfanyaje?