Demand ya Samaki aina ya kambale

Demand ya Samaki aina ya kambale

carmel

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,836
Reaction score
265
Wajasiriamali nauliza soko la uhakika la samaki aina ya kambale au Catfish....Hivi kuna hotels ambazo wanatumia hawa samaki.? au naweza je kufanya value addition.?
 
Unao wabich au wakavu! Na unaUza kwa sh. Ngapi na ktk ujazo gani ?
 
Hebu sema vizuri bei, ujazo na mahali ulipo usijekuwa uko shinyanga wengine tuko Nachingwea huku ikawa shida kupata
 
Mie nataka wa kula nyumbani ila nahitaji kambale mkubwa kuanzia kg8 nakuendelea
 
Back
Top Bottom