MhNitumie namba yake niongee nae kwa niaba yako, naamin ataelewa
[emoji849][emoji849][emoji849]Mnunulie Bhangi
Chama la wanaHa haaa umetisha sana
Msg ya kwanza yenye content.Ni ishara kwamba anataka kuona kama unamjali au unamcare vizuri .Ni kawaida kwa mwanamke Kununa kwahiyo usimpotezee.Kamuoneshe jinsi gani unavyompenda na kumkubatia kumuambia it's okay .Mfanye aongee yote yaliyomo moyoni mwake na uyafanyie kazi.
Hajanichafua popoteNshawasiliana na wakili wangu.
Hawezi kukuchafua karakta yako halafu aachwe hivi hivi.
Tuna miliyoni kadhaa kwenye pocket yake. Atalipa tu😆
Mimi bado binti mkuuUmenuniwa na lishangazi si unashukuru tu
🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23]Mnunulie Range
Inasemekena ana sifa ya kipekee sana