Demi amenichunia. Nifanyeje?

Demi amenichunia. Nifanyeje?

Ni ishara kwamba anataka kuona kama unamjali au unamcare vizuri .Ni kawaida kwa mwanamke Kununa kwahiyo usimpotezee.Kamuoneshe jinsi gani unavyompenda na kumkubatia kumuambia it's okay .Mfanye aongee yote yaliyomo moyoni mwake na uyafanyie kazi.
Msg ya kwanza yenye content.

Barikiwa mkuu
 
Ha haaa umetisha sana
Nshawasiliana na wakili wangu.

Hawezi kukuchafua karakta yako halafu aachwe hivi hivi.

Tuna miliyoni kadhaa kwenye pocket yake. Atalipa tu😆
 
Demi toto la kinyamwezi.
Ni pisi kali sana, mjanja sio zoba. Au nasema uongo Demi?
Anafanana na hiyo avatar kwa asilimia 88%
 
Back
Top Bottom