Demi amenichunia. Nifanyeje?

Demi amenichunia. Nifanyeje?

Mimi natafuta suluhu halafu wewe unanisagia kunguni.

Subiri jioni, punje za mchele zitageuka viroboto leo. Labda usilale na mchele ndani
Ni mwendo wa kusagia kunguni tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hao viroboto kwangu sio tatizo, kama niliweza kulala kwenye maji wiki nzima, na usingizi nilikuwa napata.πŸ˜…πŸ˜…
 
Back
Top Bottom