Demi live on muosha rungu TV show!!

Demi live on muosha rungu TV show!!

Diamond Na Ali kiba ni yupi ni msanii Na yupi ni mwanamziki?
Kati yao ni nani amefanya mengi kusaidia jamii
Mfano Tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawashabikia wote, napenda nyimbo zao wote wawili.
Alikiba ni msanii wa ukweli ila sio entertainer. Diamond ni entertainer, mbunifu na amekaa kisuperstar zaidi.
Kwa taarifa nilizonazo diamond anasaidia sana jamii, ameshawahi kujitolea kusomesha watoto shule na pia anatoa misaada mbali mbali vituo vya yatima.
Sina team nawapenda wote!
 
Irene uwoya au wema sepetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom