General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
aina noma arifuuAsante kwa kuwa muelewa Amigo.
Ebu pumzika mkuu, na kesho ni another day....
Well said Mamaa! Yule mheshimiwa alikurupuka kuropoka kutokana na kushikwa degedege
Nyie mnapendanaeish na mm umeniboa!
mie nilishaacha siku nyingi sana kumnyooshea kidole mwenzangu nawe jaribu uone km hutaenjoy!.. hatujui viatu vyake mkuu ! huenda vikatubana au kutupwaya!
Mwenzako kasema nikustahi..ila ukitaka nitaziweka apai challenge you to do so!!!
Hii kauli ya kuvunja moyo sana kwa wanaume
huyu kanisaliti mbeye ya ile mimalaya!!Nyie mnapendana
Siachi pesa ya maana. Si kwa enzi hizi.Swali limekuja kutokana na jibu lako. Kuna kiasi ukipewa utagawa mzigo, ndio nauliza je unajiuza?
Pambana na mke wako mla ugoro ukoUnakuta ndio Mamsapu wako kaandika hivyo.
Mpole kiasi mtundu kiasi
Toa hizo pm wazione kelele za niniWw usitake kuzua mengine apa.
ahort n clear SIKUTAKI PRINCESS ANNE MLAA UGORO WA KIMASAI WW
washa penzi kama moto demi$connor
Una miaka mingapi kwenye ndoa!Siachi pesa ya maana. Si kwa enzi hizi.
Namaanisha pesa ya maana si vilaki laki.
Nani atake kiki kwa mla ugorosikujibu wala.... kick sitoi
Sio hivyo, inawezekana akapata mteja.
Nawashabikia wote, napenda nyimbo zao wote wawili.Diamond Na Ali kiba ni yupi ni msanii Na yupi ni mwanamziki?
Kati yao ni nani amefanya mengi kusaidia jamii
Mfano Tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umewahi au kutamani pia kuombwa penzi kinyume na maumbile, .Nikumbushe nitalijibu..
Nimeshawahi, ni ujana tu nikikua nitaachaUmeshawahi nunua au tazama video ya ngono
Kwa nn
Ni nini kinakufurahisha ktk maisha ya ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Siachi pesa ya maana. Si kwa enzi hizi.
Namaanisha pesa ya maana si vilaki laki.
Irene uwoya au wema sepetuNawashabikia wote, napenda nyimbo zao wote wawili.
Alikiba ni msanii wa ukweli ila sio entertainer. Diamond ni entertainer, mbunifu na amekaa kisuperstar zaidi.
Kwa taarifa nilizonazo diamond anasaidia sana jamii, ameshawahi kujitolea kusomesha watoto shule na pia anatoa misaada mbali mbali vituo vya yatima.
Sina team nawapenda wote!