Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Nashukuru hakuna kitu nilichokosa kutoka kwa wazazi wangu, wamenilea na kunisomesha ipasavyo.Katika malezi yako unadhani nini ulikosa toka kwa wazazi
Pia nn kimekusaidia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichonisaidia ni malezi ya mama kunilea kwa kufanya kazi za kila aina bila kuchagua, na sasa naweza kuishi mazingira yoyote yale.