Ukijitambua utaacha kula ugoro na majivu. Empty setHuyo mtoto mdgo sana kwangu
Ha haaaa..wamama walivyo na huruma nitafunikwa kitenge. Ila wasijedhani ni mchawi nimeanguka mbona itakuwa patashika![emoji122] ukijikuta umeamka asubuhi uko posta kama ulivyozaliwa watu wamekuzunguka utafanya nini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee..am too honest you know. Hili silijibu libaki kwenye mabano.
Avatar ya mtu ni kichaka, Imaginations ni mzigo kwa kweli.
Jf ukija wa moto utapoa tu mwenyewe Mimi kuna mmoja hum (ID yake naihifadhi) huyo dem anashobokewa sana hadi baadhi ya men wanagombana kisa yeye sasa siku moja alinifata pm tulikuwa na maongezi ya kina ikabidi nimuombe namba ili nimpigie kwa maongezi zaidi.Avatar ya mtu ni kichaka, Imaginations ni mzigo kwa kweli.
Tuheshimiane dogo huwezi kula ugoro na kuni tusiKila comment ugoro alfu nmegundua ww ni gay wa kimataifa
Hongera madam upo vizuri kwenye kujibu maswali aiseehHa haaaa..wamama walivyo na huruma nitafunikwa kitenge. Ila wasijedhani ni mchawi nimeanguka mbona itakuwa patashika!
.
.
Nitaomba simu nimpigie ndugu aje kunichukua.
Yes chagua jibu sahihi. Lolote litakalokujia kichwani( ) brackets zina majibu 1000 kidogo.
Itakuwa umewekewa ugoro uko nyuma maana unausifia sanaUkijitambua utaacha kula ugoro na majivu. Empty set
washa penzi kama moto demi$connor
Kama ikatokea mumeo akatembea bahati mbaya au nzuri Na hawa yupi utakuwa radhi kupigana nae?Ha haaaa..wamama walivyo na huruma nitafunikwa kitenge. Ila wasijedhani ni mchawi nimeanguka mbona itakuwa patashika!
.
.
Nitaomba simu nimpigie ndugu aje kunichukua.
Jf ukija wa moto utapoa tu mwenyewe Mimi kuna mmoja hum (ID yake naihifadhi) huyo dem anashobokewa sana hadi baadhi ya men wanagombana kisa yeye sasa siku moja alinifata pm tulikuwa na maongezi ya kina ikabidi nimuombe namba ili nimpigie kwa maongezi zaidi.
alisita namba ila baadae akajifikiria akanipa, moja kwa moja nikaisev nikaenda watsap kuchungulia dp tukachat wee namsifia picha yake watsap anafurahia...
baada kupotezeana kama mwezi hivi nikarudi watsap kuchungulia Kama yupo online, hamadii!! nilikuta picha yake halisi sitaki kuelezea halisia wa picha ila kiukweli picha ilinisitua! nikamtxt akanijibu in short ambapo siyo kawaida yake baada ya muda nikaona picha imebadilishwa !!
juzi nimekumbukia kiingia fb , nime'log in nakutana na "people you may know" kucheki profile ni yule dem wa Jf nikapitia picha zooote nikawa najichekea tu kimoyo moyo huku nikiwaonea huruma ndg zangu hum wanaogombana kisa avatar tu!!
Ww boya tu huna loloteTuheshimiane dogo huwezi kula ugoro na kuni tusi
Washa penzi kama moto demi$connor
Sipigani na mwanamke anayetembea na mume wangu. Nitapigana na mume..Kama ikatokea mumeo akatembea bahati mbaya au nzuri Na hawa yupi utakuwa radhi kupigana nae?
Maserati
Ms Lincoln
Mahondaw
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugoro unakuwasha dogo,endelea tu
Washa penzi kama moto demi$connor
Akome nani ww na maugoro yako ya kigoma hayo.ww hupendwi ndio maana huna pm kichwa ugorohahahaha nadhan ulikoma! mkome tu
Aisee..am too honest you know. Hili silijibu libaki kwenye mabano.
Nani kati yao uko tayari kushare nao mumeo ikiwa unaumwa!Sipigani na mwanamke anayetembea na mume wangu. Nitapigana na mume..
IgnoredUsinijaribu dogo.ugoro utayeyuka kichwani
Washa penzi kama moto demi$connor