Demi live on muosha rungu TV show!!

Demi live on muosha rungu TV show!!

Avatar ya mtu ni kichaka, Imaginations ni mzigo kwa kweli.

Jf ukija wa moto utapoa tu mwenyewe Mimi kuna mmoja hum (ID yake naihifadhi) huyo dem anashobokewa sana hadi baadhi ya men wanagombana kisa yeye sasa siku moja alinifata pm tulikuwa na maongezi ya kina ikabidi nimuombe namba ili nimpigie kwa maongezi zaidi.

alisita namba ila baadae akajifikiria akanipa, moja kwa moja nikaisev nikaenda watsap kuchungulia dp tukachat wee namsifia picha yake watsap anafurahia...

baada kupotezeana kama mwezi hivi nikarudi watsap kuchungulia Kama yupo online, hamadii!! nilikuta picha yake halisi sitaki kuelezea halisia wa picha ila kiukweli picha ilinisitua! nikamtxt akanijibu in short ambapo siyo kawaida yake baada ya muda nikaona picha imebadilishwa !!

juzi nimekumbukia kiingia fb , nime'log in nakutana na "people you may know" kucheki profile ni yule dem wa Jf nikapitia picha zooote nikawa najichekea tu kimoyo moyo huku nikiwaonea huruma ndg zangu hum wanaogombana kisa avatar tu!!
 
Ha haaaa..wamama walivyo na huruma nitafunikwa kitenge. Ila wasijedhani ni mchawi nimeanguka mbona itakuwa patashika!
.
.
Nitaomba simu nimpigie ndugu aje kunichukua.
Kama ikatokea mumeo akatembea bahati mbaya au nzuri Na hawa yupi utakuwa radhi kupigana nae?
Maserati
Ms Lincoln
Mahondaw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf ukija wa moto utapoa tu mwenyewe Mimi kuna mmoja hum (ID yake naihifadhi) huyo dem anashobokewa sana hadi baadhi ya men wanagombana kisa yeye sasa siku moja alinifata pm tulikuwa na maongezi ya kina ikabidi nimuombe namba ili nimpigie kwa maongezi zaidi.

alisita namba ila baadae akajifikiria akanipa, moja kwa moja nikaisev nikaenda watsap kuchungulia dp tukachat wee namsifia picha yake watsap anafurahia...

baada kupotezeana kama mwezi hivi nikarudi watsap kuchungulia Kama yupo online, hamadii!! nilikuta picha yake halisi sitaki kuelezea halisia wa picha ila kiukweli picha ilinisitua! nikamtxt akanijibu in short ambapo siyo kawaida yake baada ya muda nikaona picha imebadilishwa !!

juzi nimekumbukia kiingia fb , nime'log in nakutana na "people you may know" kucheki profile ni yule dem wa Jf nikapitia picha zooote nikawa najichekea tu kimoyo moyo huku nikiwaonea huruma ndg zangu hum wanaogombana kisa avatar tu!!

hahahaha nadhan ulikoma! mkome tu
 
Back
Top Bottom