Nashukuru hakuna kitu nilichokosa kutoka kwa wazazi wangu, wamenilea na kunisomesha ipasavyo.Katika malezi yako unadhani nini ulikosa toka kwa wazazi
Pia nn kimekusaidia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo kapige puri ulale. Nilikuambia uache kula ugoro husikiiDemi mbona avatar yako imekaa kishirikina?
Teh teh..kwa mtazamo wangu si kishirikina.Demi mbona avatar yako imekaa kishirikina?
Nakasirishwa na mtu mkorofi maana sipendi ugomvi na ni mwepesi kusamehe.
Nachukizwa na mtu anayelazimisha niishi kama yeye au nifikiri kama yeye
Kaskazini
Unadhani baba yako anafaa kuwa role model ya mumeo mtarajiwaNashukuru hakuna kitu nilichokosa kutoka kwa wazazi wangu, wamenilea na kunisomesha ipasavyo.
Kilichonisaidia ni malezi ya mama kunilea kwa kufanya kazi za kila aina bila kuchagua, na sasa naweza kuishi mazingira yoyote yale.
Anafaa kupita maelezo, ni mume na baba wa aina yake! Bahati nzuri nimeshaolewa.
Mhe Fulani aliwahi sema kanda ya kaskazin haitokuja toa rais ,nn msimamo wakoKaskazini
Basi sawaTeh teh..kwa mtazamo wangu si kishirikina.
Nilishajibu.
Thats my wifeAnafaa kupita maelezo, ni mume na baba wa aina yake! Bahati nzuri nimeshaolewa.
Hongera,Anafaa kupita maelezo, ni mume na baba wa aina yake! Bahati nzuri nimeshaolewa.
Mimi sio mtu wa siasa sana lakini naona si sahihi maana uongozi wa nchi si tu kwa baadhi ya makabila bali kwa mtanzania yeyote mwenye uwezo na anaye kubalika.Mhe Fulani aliwahi sema kanda ya kaskazin haitokuja toa rais ,nn msimamo wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaharibu uzi kwa mambo yako ya kijinga...leo acha nisikujibu....Dogo kapige puri ulale. Nilikuambia uache kula ugoro husikii
Washa penzi kama moto[emoji91] [emoji91] demi$connor
Nilishakukataza kutumia ugoro wa ubuyu we babu husikiiLeo unaliza maswali yenye mashiko eenh,
Endelea ivyo ivyo ungeleta ujing tena tungekuozesha.
muosha rungu
Swali la kichokozi hili..leo ni hot kwakweli! mie naomba tu uniambie kakitu kamoko.... najua umeolewa lakin haizui ww kumepnda mtu unconditionaly... yes it happen,... yupo huyo mtu? unafialje kuwa ane mbali na ww kwasabb umeolewa!
ni hayo tu kwaleo,,, ndimi le shostito, le madame, le friend, le pedejee lakike staafu..... ndukiiiiiiiiii