Abdallahkova
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 1,154
- 1,127
Umesafiri au unakula vitu vyako.Ha haaa leo no kuhudumia ndoa. Niko far away
Vitu vipi hivyo mkuu?
Ha haa we mjamaa bwana! AsanteeeeI love you demi
Zanzi +nyagi mkuu sijamaanisha vitu tofauti.Vitu vipi hivyo mkuu?
Ha ha haa sina kinywaji leo
Ndio ulivyofundishwa kufanya hesabu hvnukuu "nimewahi piga kura Mara moja tu 2005"
2017-2005=17
umri wa mpiga kura ni kuanzia 18yrs...so tufanye 18+17=35!
asee hapana tunahangaishana na bibi mwenye wajukuu muosha rungu uliza maswari ya staha huyo ni kama bi mkubwa wko
Akuongezee na balimi nitalipia Mimi hapa😀😀😀😀Aiseeeee patamu hapa...
1. Barleys
2. Zanzi + konyagi
3. Dompo
4. Safari Larger
5. Sminorf ice
Yoyote kati ya hizo
Intavyuu ijayo ntakuhoji mimi babu mwenyewe...aww kichwa ya moto wewe upogo! na kweli sijakuona! kuna basha hap[a linatuboa acha tu!
Afu we... hebu kalale huko... au mzee kasafiri??Karibu mke mwenza!
Cc Saint Ivuga teacher hii Ndio ile yetu ile,mbona Naona chenga hapa Leo 😀😀😀😀Заифмизоҷеро ки шумо ба тасҳеҳ ҷаҳаннам гей нест,
Teh teh mi ndo nimesafiriAfu we... hebu kalale huko... au mzee kasafiri??
Tuache walinzi tufanye kazi zetu kwa amani
Intavyuu ijayo ntakuhoji mimi babu mwenyewe...
Jiandae...
Nani huyo tumtafutie bwana??
Mchochezi wewe,upimwe mkojo tu hakuna namna.Kama ikatokea mumeo akatembea bahati mbaya au nzuri Na hawa yupi utakuwa radhi kupigana nae?
Maserati
Ms Lincoln
Mahondaw
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpotezee tu asikuharibie moodhahahahah kuna falasi mmoja ananinifanya ban initembelee humu! anajita kono kono! she.nzy, typ! nimewaita [HASHTAG]#mods[/HASHTAG] wapiii
Utahojiwa na mimi babu... utapigwa maswali ya kiutu uzima...hahaha hapana mkuu mie ni mtu mzima kuanikwa humu kwakweli nna wadogo zangu wengi wnaniangalia mm! hapana mkuu! mie nilishamshauri muosha rungu last week ahoji ambao ni single atleast inaleta umaana !sasa unanihoji mie [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] uwiii! hapana kwakweli! naogopa kivuli changu mwenyewe aic!...
Utahojiwa na mimi babu... utapigwa maswali ya kiutu uzima...
Ndipo utakapolia na kusaga meno