MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku nyingine usiwaite mods kwa kuwamention... unareport abuse kwa kubofya hicho kidude kimeandikwa "report" hapo lazima umpate Mod aliye on duty na atafanya yake fasta...hahahahah kuna falasi mmoja ananinifanya ban initembelee humu! anajita kono kono! she.nzy, typ! nimewaita [HASHTAG]#mods[/HASHTAG] wapiii
Basi fanya hima wewe uniintavyuu mimi... uone kama watoto watatia timu kwenye shughuli yetu...hahha nitaleft kwa muda! wala sipo tayari mhenga mwenzangu! uzee huu unanichutamisha hvyo? lol
Ha ha ha ha ha ha. Eti wanakata viuno vyao,umekunywa balimi Leo???Siku nyingine usiwaite mods kwa kuwamention... unareport abuse kwa kubofya hicho kidude kimeandikwa "report" hapo lazima umpate Mod aliye on duty na atafanya yake fasta...
Hao uliowatag unaweza kuta wakati unawatag wao wanakata viuno vyao juu ya miili ya wapenzi wao
Sema ahsante babu... Mod mstaafu
Anhaaa... kumbe mkisafiri ndo mnakuwaga hivyo enh... next time bibi yenu akisafiri naambatana naye.Teh teh mi ndo nimesafiri
Hakuna kulala leo
That's my girlnimeliignore
Nikamix na Konyagi...Ha ha ha ha ha ha. Eti wanakata viuno vyao,umekunywa balimi Leo???
Nikamix na Konyagi...
Hapa nilipo hiki kichwa kimebeba macho tu... kwa ajili ya kunisaidia kuvuka barabara nisigongwe na gari...
Akili yote inajijua ilipo
Basi fanya hima wewe uniintavyuu mimi... uone kama watoto watatia timu kwenye shughuli yetu...
Nlishawahi kupaki kibajaji changu sehemu flani hivi... kesho yake nikajiuliza nilipakije?? Maana kukitoa ilikuwa mbinde.hahahahahahhaahahhhah nimewah kuwa kwenye hyo state .. huwa nataman kumuuliza dada nilirudije hom hahaha sitak tena ic! hahahhha
Siku nyingine usiwaite mods kwa kuwamention... unareport abuse kwa kubofya hicho kidude kimeandikwa "report" hapo lazima umpate Mod aliye on duty na atafanya yake fasta...
Hao uliowatag unaweza kuta wakati unawatag wao wanakata viuno vyao juu ya miili ya wapenzi wao
Sema ahsante babu... Mod mstaafu
Nani amuintavyuu babu??muosha rungu kesho ni ijumaa .. tumning'inize mhenga huyu anaejiita Asprin
Ha ha ha ha ha. Duh. Haya babu,jamani mie Naenda kulala sasa hivi. wa mwisho asisahau kafunga mlango Jana jukwaa limelala waziNikamix na Konyagi...
Hapa nilipo hiki kichwa kimebeba macho tu... kwa ajili ya kunisaidia kuvuka barabara nisigongwe na gari...
Akili yote inajijua ilipo
Mi nahamia jukwaa la wakubwa...Ha ha ha ha ha. Duh. Haya babu,jamani mie Naenda kulala sasa hivi. wa mwisho asisahau kafunga mlango Jana jukwaa limelala wazi
Nlishawahi kupaki kibajaji changu sehemu flani hivi... kesho yake nikajiuliza nilipakije?? Maana kukitoa ilikuwa mbinde.
Wasamaria wema wakaja kunisaidia kukisukuma...
Twende zimbambweMi nahamia jukwaa la wakubwa...
tafadhali usisahau kuota nimekuwa gavana wa benki kuu ya Zimbabwe
Umenikumbusha mbali sana...hahahahha haya maisha ni raha sana! niliwah funguliwa gate nikaingia nikazima humo had asbh! hahahah imagne ugenini kwa rafk tumeenda harusin!dah sitak kbs kukaa na walevi mie... heheheh nacheka hapa! imagn unaamka asbh upo ndan ya gate umeninamia usukan! qwi qwi ! alafu ni mbeya na barid lile! HAIFAI
Tupitie Ununio...Twende zimbambwe
Nani amuintavyuu babu??
Thubutu yake!