Demi live on muosha rungu TV show!!

hahahahah kuna falasi mmoja ananinifanya ban initembelee humu! anajita kono kono! she.nzy, typ! nimewaita [HASHTAG]#mods[/HASHTAG] wapiii
Siku nyingine usiwaite mods kwa kuwamention... unareport abuse kwa kubofya hicho kidude kimeandikwa "report" hapo lazima umpate Mod aliye on duty na atafanya yake fasta...

Hao uliowatag unaweza kuta wakati unawatag wao wanakata viuno vyao juu ya miili ya wapenzi wao

Sema ahsante babu... Mod mstaafu
 
Ha ha ha ha ha ha. Eti wanakata viuno vyao,umekunywa balimi Leo???
 
Nikamix na Konyagi...

Hapa nilipo hiki kichwa kimebeba macho tu... kwa ajili ya kunisaidia kuvuka barabara nisigongwe na gari...

Akili yote inajijua ilipo

hahahahahahhaahahhhah nimewah kuwa kwenye hyo state .. huwa nataman kumuuliza dada nilirudije hom hahaha sitak tena ic! hahahhha
 
hahahahahahhaahahhhah nimewah kuwa kwenye hyo state .. huwa nataman kumuuliza dada nilirudije hom hahaha sitak tena ic! hahahhha
Nlishawahi kupaki kibajaji changu sehemu flani hivi... kesho yake nikajiuliza nilipakije?? Maana kukitoa ilikuwa mbinde.

Wasamaria wema wakaja kunisaidia kukisukuma...
 
hahahaa sawa sawa mhenga! na hakuna kitu inaboa unasilikizia mkuyenge simu iite .... tumbaaaaaaaafu
 
Nikamix na Konyagi...

Hapa nilipo hiki kichwa kimebeba macho tu... kwa ajili ya kunisaidia kuvuka barabara nisigongwe na gari...

Akili yote inajijua ilipo
Ha ha ha ha ha. Duh. Haya babu,jamani mie Naenda kulala sasa hivi. wa mwisho asisahau kafunga mlango Jana jukwaa limelala wazi
 
Nlishawahi kupaki kibajaji changu sehemu flani hivi... kesho yake nikajiuliza nilipakije?? Maana kukitoa ilikuwa mbinde.

Wasamaria wema wakaja kunisaidia kukisukuma...

hahahahha haya maisha ni raha sana! niliwah funguliwa gate nikaingia nikazima humo had asbh! hahahah imagne ugenini kwa rafk tumeenda harusin!dah sitak kbs kukaa na walevi mie... heheheh nacheka hapa! imagn unaamka asbh upo ndan ya gate umeninamia usukan! qwi qwi ! alafu ni mbeya na barid lile! HAIFAI
 
Umenikumbusha mbali sana...

Ila Konyagi si pombe nzuri... inapoteza kumbukumbu. Yani unashangaa tu asubuhi wife anasema "ukishakunywa mikonyagi yako usiniguse... maana mpaka nimechubuka"... Ndo unaanza kuvuta kumbukumbu... hivi kumbe nilimnaniliu huyu mama watoto...

Yani unakula nyama laini afu hujui kama ulikula ukashiba LOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…