mkulungu mkuyengo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 786
- 564
oohoooo!NDIO
Cc.Lee empireNina amini hajatofautiana na wanaume wengi. Siwezi taja ni nini hasa nilimpendea, Love doesn't ask why... i just love him.
.
.
Substitute: May be
Mumewe ana wake wawili huyoo ye ni bimdogo
Daah acha tu ...wanawake hawa!! .... Mungu anawaona.Hii kauli ya kuvunja moyo sana kwa wanaume
Ha haaa husna mambo?Mumewe ana wake wawili huyoo ye ni bimdogo
Mungu anamuona kila mtu mkuu.
Alhamdulillah...Shehe . Shemeji yangu huyo umuache ununio.
Na ujue kuwa Neema za Allah zimejaa tele hapo Sheikh
Babu umenichekesha sanaHao uliowatag unaweza kuta wakati unawatag wao wanakata viuno vyao juu ya miili ya wapenzi wao
acha fujo.
Interview ilikua nzuri sana siku nyingine members wapungeze mihemko kwani wanaharibu utaratibu. Congrats muosha rungu demi
Kiwango chako cha elimu ni kip dada.Mungu anamuona kila mtu mkuu.
Degree ya kwanza.
Hapana. Sina mawazo ya kurudi shule kwa sasa.
Unaweza kumbuka changamoto yeyote ulipokuwa chuo?Hapana. Sina mawazo ya kurudi shule kwa sasa.
Ni kupata ujauzito nikiwa first year chuo. Lakini nilipambana nikamaliza
Tatizo lako utoto mwingiI love you demi
Dah! pole na hongera. ..aliyekupa ujauzito ci ndie aliyekuoa?Ni kupata ujauzito nikiwa first year chuo. Lakini nilipambana nikamaliza