Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafanya one day!hahahaha alafu muosha rungu mbn huwahoji wanaume!khaa
huwajui hawa demi wanataka wapate cha kuongea MMU..
Ha haaa..
Ndo tunataka kuona majibu yako kwa watu kama hao.huwa napenda tuongee same language !humu 70% inaonekana hawajaoa au kuolewa ! unaliona limeibuka huko linaandika [HASHTAG]#NDO[/HASHTAG] MAANA SITAOA! khaa unajiuliza hv huyu ameingia kwenye viatu vyangu anajua napitia magumu gan! kwann usiniache ukajali yako? au bas nipe ushauri niufate nisiufate ni mm! mfano ww nianze kukusema mhh demi had bangi umevuta mhh wewe sio mwanamke aise
si unaona kuna poyoyo mmoja alikuuliza r u sure ww mwanamke!heheheh mie huyoo uwi siwez mvumilia! sitak kbs kunyooshea vidole linapokua suala la ndoa aic! KUA UYAONE! mxiew
Ndo tunataka kuona majibu yako kwa watu kama hao.
Mimi hawanisumbui, maisha yangu ni yangu...kila mtu ana maisha yake na mambo yake. Kuna watu wana siri za ajabu ukizisikia utazimia lkn anakuwa wa kwanza kukunyooshea kidole.
Tuvumbue madini teh tehhahaha HAPANA ! wahojiwe wasichana jaman mama km mie unanihoji uvumbue nn aise! mie nipo huku for fun sio kuninyooshea midole pyeee
Wewe mama ndo mzuri maana una hazina tele!!
Toka 70s bhana!
DJ sepetu
Nikiwa ready kwa interview??? hahaha yangu ita break the internet maana hayo maswali pm sio poa itakua hapa.... hapana kwa kweli.Thanks Na wewe Ukiwa ready nistue!
rungu show
Tulia utambulishweThats my wife
Washa penzi kama moto demi $connor
Karibu KaskaziniAhhhh
the great
Mfano swali lipi unaliogopa sana kuulizwaNikiwa ready kwa interview??? hahaha yangu ita break the internet maana hayo maswali pm sio poa itakua hapa.... hapana kwa kweli.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Karibu , wachumba wapo huku machameNaja kuoa huko
the great
Hakuna swali naogopa kuulizwa na siku zote hata kwenye real life hua napokea maswali mengi sana na najibu..... tatizo hii mitandao bro kesho na kesho kutwa Kigwa huyu hapa uwiiiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mfano swali lipi unaliogopa sana kuulizwa
DJ sepetu
Kigwa Ukiwa Na maana ipiHakuna swali naogopa kuulizwa na siku zote hata kwenye real life hua napokea maswali mengi sana na najibu..... tatizo hii mitandao bro kesho na kesho kutwa Kigwa huyu hapa uwiiiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.