Demi live on muosha rungu TV show!!

Basi muwe wote kwenye interview tuwasikie vizuri maqoute love yenu[emoji23] !
Au kuna kitu mnaogopa!!

DJ sepetu
Khakhaakhaaaaa Nacheka kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaauuuu mweh!

Shida nikwamba tumekutana wote matahira wote wajinga wote washamba mahondaw na Mr wake.

Hatuna cha kuogopa. Kingekuepo tusingekuwa tunajiachia kiasi hiki.

Mahondaw wa Smart911
 
Ila hamuwezi thubutu kuwa interviewed hamuwezi kuhandle peoples questions!

DJ sepetu
 
Heheheee Why so???
Wameweza wao si tushindwe tuna nini???

Nipo na jiniaz man hawezi shindwa swali lolote au kukosa jibu. Nikishindwa mimi he will answer

Mahondaw wa Smart911
Tatizo kuthibiti mihemuko kutokana Na presha za watu!!?
Au mnahofia makaburi kufukulikwa kwa greda

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…