Tatizo kuthibiti mihemuko kutokana Na presha za watu!!?
Au mnahofia makaburi kufukulikwa kwa greda
DJ sepetu
Hatuogopi shida ni kugombana na watu, maana kuna watu wa ajabu sana humuSijui mnaogopa nini. Nawashangaa
Kha! Kwani ni ndugu yangu mkuu?Demi umemfcha wap joseverest??
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
kuna kpnd niliona mkitaniana, eniwei sio kesiKha! Kwani ni ndugu yangu mkuu?
Hapana, sina mawasiliano nae zaidi ya humu kwenye comments. Majina yenu yamefanana ukute ndio wewekuna kpnd niliona mkitaniana, eniwei sio kesi
Sent from my Android phone
Hapna sio umefanansha tuHapana, sina mawasiliano nae zaidi ya humu kwenye comments. Majina yenu yamefanana ukute ndio wewe
[emoji102]Anafaa kupita maelezo, ni mume na baba wa aina yake! Bahati nzuri nimeshaolewa.