Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mrefu. Mahesabu yamenipitia pembeni ila ft 5 kafikaShemeji ni mrefu (ft 5) au mfupi ( ft 4)?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrefu. Mahesabu yamenipitia pembeni ila ft 5 kafikaShemeji ni mrefu (ft 5) au mfupi ( ft 4)?
Great Liar. Umeolewa halafu unajibu yes!Kama kuna faida..YES
Najiamini kwenye jambo ninaloliamini. Kitu kama sikiwezi na sina interest nacho sipotezi muda.
haya maswali ni ya kumwuliza Deo Kisandu. Huyu ana maswali ya kunyegeka tu
Siwezi kukumbukampk sasa zishakupitia ngap?
Sent From Ikulu-Magogoni street
Magufuli, si unaona tulivyonyooka!
hapa ndo nakukubali, inaonekana umeishi life flan hiv la kutojali.Kama kuna faida..YES
Si lazima uamimi kila kitu. AsanteGreat Liar. Umeolewa halafu unajibu yes!
Huna mume. Huja experience ndoa.
Umewahi kupiga kura kumchagua rais Mara ngapiNajiamini kwenye jambo ninaloliamini. Kitu kama sikiwezi na sina interest nacho sipotezi muda.
Another lie.Yes lakini itategemea na amount.
Tulia hivyo hivyojaman si inaruhusiwa kuuliza swali au?? hahaha bas sikujua shoo! ova nimekunywa khaa! naacha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona nshasoma sasa Mangi... Ngachokaa
Wanawake makini hawajibi swali hili.Nilikuwa form one. Sio huyu
Tuombe munguhehhe mguu ndan mguu nje dadek 1 chance left mxiewwwwwww
we soma tu, ila nikija pm tuelewaneMbona nshasoma sasa Mangi... Ngachokaa
Nimepiga kura mara moja tu 2005Umewahi kupiga kura kumchagua rais Mara ngapi
Unaamini viongozi wetu wakuu wanakosea wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kila mtu ni makini. Asante!Wanawake makini hawajibi swali hili.