Acha udada baridah ww. Kula ugoro ukalalepombe la kifaransa litakutoa roho hilo
Sent From Ikulu-Magogoni street
Good!Sitampangia cha kufanya bali atachagua. Bahati nzuri mpk sasa anatambua nini anataka kufanya na atakuwa nani.
Malezi ninayompa ni kumfundisha kujiamini na kujitegemea yeye mwenyewe.
[emoji122] [emoji122]Sitampangia cha kufanya bali atachagua. Bahati nzuri mpk sasa anatambua nini anataka kufanya na atakuwa nani.
Malezi ninayompa ni kumfundisha kujiamini na kujitegemea yeye mwenyewe.
Asante.Hongera maa
Madame S
Nitakupa Iphone na uje na mafutaAcha udada baridah ww. Kula ugoro ukalale
Washa penzi kama moyo demi$connor
Marahaba mdogo wangu....namsoma mchepuko wa leeUpo makini ujue Dada shikamoo jaman
Nawachukulia kawaida, hawanisumbui wawepo wasiwepo ni sawa. Sijawahi kushiriki
Haya
Tupo woteMarahaba mdogo wangu....namsoma mchepuko wa lee
Ikiwa mpenzi wako ana maumbile madogo aka dole gumba utafanya nn ili asijione duniNawachukulia kawaida, hawanisumbui wawepo wasiwepo ni sawa. Sijawahi kushiriki
Ugoro umepanda sasa kichwani unaanza kuropoka.Nitakupa Iphone na uje na mafuta
Sent From Ikulu-Magogoni street
Siwezi kudumu na mpenzi kama huyo.Ikiwa mpenzi wako ana maumbile madogo aka dole gumba utafanya nn ili asijione duni
Sent using Jamii Forums mobile app
Demi ulishatoka nje ya Tz?Asante.
Shunie
Why Na unapenda mpenzi awe Na umbile lipiSiwezi kudumu na mpenzi kama huyo.
Sijawahi toka nje ya nchi[emoji25] [emoji25] [emoji25]Demi ulishatoka nje ya Tz?
if yes ni nchi gan hzo?
Sent From Ikulu-Magogoni street
SawaTupo wote
hahahahaSiwezi kudumu na mpenzi kama huyo.
Nikiwa naye nitamcheat bora nisiwe naye. Maumbile ya kawaida, size ya kati na kuendelea