Demi live on muosha rungu TV show!!

Demi live on muosha rungu TV show!!

Sitampangia cha kufanya bali atachagua. Bahati nzuri mpk sasa anatambua nini anataka kufanya na atakuwa nani.
Malezi ninayompa ni kumfundisha kujiamini na kujitegemea yeye mwenyewe.
Good!
Unawachukuliaje wasagaji Na mashoga
Je ushawahi shiriki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom