Demi live on muosha rungu TV show!!

Demi live on muosha rungu TV show!!

leo ni hot kwakweli! mie naomba tu uniambie kakitu kamoko.... najua umeolewa lakin haizui ww kumepnda mtu unconditionaly... yes it happen,... yupo huyo mtu? unafialje kuwa ane mbali na ww kwasabb umeolewa!

ni hayo tu kwaleo,,, ndimi le shostito, le madame, le friend, le pedejee lakike staafu..... ndukiiiiiiiiii

Swali la kichokozi hili..
.
.
Yes huwa inatokea, nami ni binadamu pia!
Duhh.....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Mdomo wangu umebaki wazi
 
Back
Top Bottom