Demi live on muosha rungu TV show!!

Demi live on muosha rungu TV show!!

kwa bahati mbaya mama shabrina, ubuyu tumeishiwa kumebaki na ugoro tu jirani yetu kiherehere anadanga nao hapo juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Madame S
 
Kila kitu ugoro embu ficha ujinga wako alfu usiforce penzi itakuwa unaugoro makalioni
Nani anaforc penzi au unataka uje unishikie mguu siku moja

Peleka likichwa lako uko na maugoro yako yaliyochanganywa na majivu ya mkaa

Washa penzi kama moto demi$connor
 
Unahisi watu wanaotafuta wachumba jf wako serious!
Hasa wanawake!
Nini unafikili wanapungukiwa au wanakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi wapo ambao wapo serious.
.
.
Wapo desperate tu maana huwezi kukosa mchumba mtaani, na kama ni mtandaoni si lazima uweke bango unatafuta, unaweza ukapata mtu mkaanza urafiki baadae mnafika kwenye uchumba.
 
Nahisi wapo ambao wapo serious.
.
.
Wapo desperate tu maana huwezi kukosa mchumba mtaani, na kama ni mtandaoni si lazima uweke bango unatafuta, unaweza ukapata mtu mkaanza urafiki baadae mnafika kwenye uchumba.
[emoji122] ukijikuta umeamka asubuhi uko posta kama ulivyozaliwa watu wamekuzunguka utafanya nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom