Demi® & Maserati® mahandw® emmyta®mko wapi?

Demi® & Maserati® mahandw® emmyta®mko wapi?

Nataka kutunzwa mie mtoto wa kike.
Huo mjeledi kutembeza bakora kwa wake wanne kila siku sidhani kama utaweza, maana mie staki kusikia leo umelala kwa mke mwingine, nataka haki yangu kila siku.
Aaaaaaah apo Sawa mtt mzur wala usiogope njoo nikupe unachotaka ntakupenda km simba anamvyocare zari ama nn

Wa kishua
 
Mi naona Mods waongeze huduma nyingine iitwe JF-Pesa. Nina njaa kweli
Aaaaaaah usiogope mtt mzur Ata ukitaka pamba nitakupeleka dukan kwa broo ukachague utoke bomba

Wa kishua
 
Back
Top Bottom