Wapendwa poleni kwa giza na kutokuoga kwa siku kadhaa huko mjini wakati bahari,maziwa na mito ipo teleeee.
Poleni wale wenye simu changamoto za battery,sisi wa simu original tunapeta tu.
Wamebadirisha Id eti wasionekane wamama.
Uyo mchaga nadhani kesha staafuDepal
Huwa na mfananisha na demiss
Kuna wafwatao
Misschanga
Jey jeys
Wamepotea sana
Huyu dada alizabangwa ile kinoma humu jfWangari Maathai
Waliangukiwa na vitu vizito
Hivi ndio yule wa mshana Jr?Wapendwa poleni kwa giza na kutokuoga kwa siku kadhaa huko mjini wakati bahari,maziwa na mito ipo teleeee.
Poleni wale wenye simu changamoto za battery,sisi wa simu original tunapeta tu.
Nauliza member mwenzetu Demiss amekuwa kimya imekuwaje?Amepotelea wapi? Wanaomfahamu please details tafadhari.
Wengine waliopotea humu ni;
1.massai dada
2.mama facebook
n.k
WameolewaWapendwa poleni kwa giza na kutokuoga kwa siku kadhaa huko mjini wakati bahari,maziwa na mito ipo teleeee.
Poleni wale wenye simu changamoto za battery,sisi wa simu original tunapeta tu.
Nauliza member mwenzetu Demiss amekuwa kimya imekuwaje?Amepotelea wapi? Wanaomfahamu please details tafadhari.
Wengine waliopotea humu ni;
1.massai dada
2.mama facebook
n.k
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wangari Maathai
Waliangukiwa na vitu vizito
Alifanyaje huyu mkuu?Wangari Maathai
Waliangukiwa na vitu vizito