Demiss amepotelea wapi?

Umesema kweli humu watu wanapenda kujaji Na kuonea watu
 
Ohoooo! Ishakuwa shida tayari.
 
Duuh[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kuna watu wanajichumia dhambi hapa.
Mambo mengine ni heri kunyamaza.

Huyo mpauko alishafariki,na taarifa zake alileta mtu mwingine,wala si huyo dada.
Zilikuwa confirmed.

Ila watu!
Acheni dhambi.
Kama ni huyo ni kweli alijinyonga akafariki, hata alipokua anaishi nyumba naifahamu.

Japo sikua namfahamu kwa sura ila nilijua ni msiba wake baada ya kusoma ule uzi huku + mazingira ya kifo kule mtaani kwao walivyokuwa wanasimulia nikajua ni yeye.
 
Kuna wapumbavu wanajichumia dhambi tu hapa
 
Huyo siyo, wewe unamtaja Mpauko ambaye hata sikuwa namjua mpaka alipokufa.
Kumbe sio mpauko maana Wangari ndo alileta habari za msiba wake hapa na pia mpauko alikuwa na I'd mbili.
Hata Mzee Mwanakijiji alikuwa anampango wa kumsaidia katika hatua hiyo na. Kuja kuona. Uzi humu kuwa jamaa kalala zake
 
Jamani...haya mambo yatanizeesha!
 
Naendelea kuzeeka[emoji23][emoji23]
 
Sasa mbona kakaa kimya milele? Ngoja niendelee kutiririka, nimekuwa mpenzi wa mbuyu(ubuyu), hata sifurahii hii tabia[emoji23][emoji23][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…