Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naskia alikua mchepoz wako wa kudumu lol, sasa why ulimuumbua mwenzio? Wee hujui kuachwa? Ulikwama wapi?
Mimi mjukuu hizo sio zangu.. Tulimaliza safari yetu salama salimini na kwa furaha kubwa na tulirudi hapa kuaga... Hayo mengine yote hayahusiani namimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeh kumbe wee huusiki ila unatajwa sana mbna?
 
Pole Mtani...

Wewe ni mtu wa kuigwa sana humu..kama ndiyo mizimu inafanya kazi namna hii basi fanya namna wengi wafanyiwe hii kitu..

Maana Kuna watu umetustahi/ umewastahi na madhaifu yao/yetu..Pongezi kwako Mtani wangu...

Sent using Jamii Forums mobile app
I have fallen in love with you, sweetest lady. If u dont mind, May I dm you ?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Inashangaza..
Tena ilikuwa chuki ya hovyo mno..

Imagine mtu ameleta hadi Issue zinazohusu familia yake.. Eti ulishindwa kulipa kodi, mara msichana wako wa kazi ulishindwa kumlipa mshahara,sijui Baba yako aliumwa....What the hell!!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ambayo hayahusiki kabisa na uzi yaliwekwa.
Yaani watu!.
 
Saint Murano alikuja na hoja kwamba kuna mwamba nadhani ni Fernando Sucre (ambaye baadae members wengine walikuja kutoa ushuhuda juu ya kesi zake za ubabaishaji ambazo walikuwa wanaficha kisa bullying). Murano alileta uzi wa kutafuta kazi, Sucre akamwambia atafute vyeti kadhaa. Murano akatumia savings zake zote kwa shida akapata vielelezo vyote akamtumia Sucre. Jamaa alipopata akaacha kupokea simu wala kujibu PM. Murano akafungua uzi baada ya siku nyingi kutaka watu wasio na uwezo kusaidia wasiwe wanakwamisha watu na kuwaingiza gharama (baadae wajuzi wa mambo ndio walisema zile details na vyeti vitatumika kwenye utapeli na kufoji vielelezo, hivyo sio kwamba Murano kapotezewa muda ni kwamba details zake zitatumika na kuna muda anaweza kamatwa kwa tukio).

Manengelo akaja na kashfa kwa Murano akimuita mzembe, akadai hata yeye huwa anatapeliwa hela nyingi zaidi ila hasemi, akadai huwa anasaidia watu humu JF ila hawana shukrani. Watu wengi walikaa kimya hasa wadada ila mimi na raia wachache tukakomaa nae.

Kila uzi wa matapeli huwa yuko upande wa tapeli, matapeli na ID zao mpya au za zamani wanajuana naye na waliwahi fanya deals nae. Kuna wawili niliowajua PM walikuwa affiliated naye waliwahi taka kunitapeli. Kama mnakumbuka yule jamaa aliyejitangazia kifo kwa ID nyingine alafu Manengelo akaja kutoa huzuni nyingi na kudai anamfahamu wakati mtu mwenyewe hajafa.

Manengelo/Wangari kila kitu anafanya at the same time. Kuuza dagaa, kuchimba madini, mbao, kilimo, samaki, kusafirisha kwenda wapi sijui. Niliichukulia kama mbinu ya kupata watu alafu channel yake ya anaowatetea iingie kazini. Kwa asiyeeelewa atasema wanawake walimuonea wivu ila sio kweli, hakuna uwezekano wa wewe kumiliki mashimo ya madini, wakati huo uko visiwani, wakati huo ushawahi uza nguo, wakati huo una mashamba ya mpunga, wakati huo 24/7 uko JF unachamba watu, na mengine kibao.

Wangari alichofanya ni kuwashika masikio raia humu. Alizoeana kwa lazima na watu maarufu na wasio na rekodi mbaya ila vichwa ngumu kama Kiranga huwezi kuja kizembe hivi lazima wakilushtukie. Kila mtu shosti, bestie, ndugu yangu mpaka watu wakawa wanaogopa kumkosoa. Kwa mazoea yake ya kuogopwa akawa anamzodoa kila anayetapeliwa ila hiyo siku hatukukubali.
Kuna member wanasaidia na hawasemi bali aliyesaidiwa ndio anakuja kusema ila kwa Wangari yeye kila uzi wa msaada lazima aseme anasaidia watu humu, anaosaidia hawajulikani wakijitaja ndio zile ID zenye mushkeli. Ila connection alikuwa nazo kweli.

Hata hivyo sikupendezwa kabisa na yule jamaa aliyeleta mambo yao ya kimasihara. Nilimuomba afute ile comment ila alikomaa nayo
 
Dah hatari
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hutajwi kwa ubaya, ila naskia ulikufa ulioza kwake?
Af alkua anafanya kazi gan? Wengne wanasema n mwalimu, wengine mtendaji wa kata, which z which?
[emoji3][emoji3][emoji3] Je ni vibaya kuonesha upendo mjukuu? Upendo ni mojawapo ya hitaji kuu la mwanadamu mengine ni
Kujaliwa utu wake
Kusikilizwa
Kusifiwa
Hao waliododosa kazi yake waliwahi kusema zao!? [emoji23]
 
Back
Top Bottom