Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakusingizia kumbe😂😂Shost akee 😂😂😂😂
Demiss mgogo, mimi Mmeru 🤣🤣🤣🤣 ni KAS to KUS hiyo.
Tumemshtukia leo🤣🤣Kumbe ndiye Chamdeko na hasemi[emoji16]
Naona hutaki kupitwa😂😂Chaaa!
Witty[emoji3]
Nakuja pm[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂 ana kilanga huyo member. Na hajaanza leo, ni tokea 2019 ila sina hakika kama ni huyo huyo au vipi.Wanakusingizia kumbe😂😂
Tutamshitaki ohoo
Hakii mmetuamulia leo! [emoji134][emoji134]Kuna mdada humu kashaanza kutikisa kiberiti akiendelea na mimi namripua andaeni mabeleshi tukazike hakuna kusafirisha
Hata mimi nakumbuka niliwahi ona kitu ka hyo humu, kuna mtu alikutaja😂😂😂 ana kilanga huyo member. Na hajaanza leo, ni tokea 2019 ila sina hakika kama ni huyo huyo au vipi.
Kumshitaki? Namlia ugali dona na sato tu.
Shikamoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mjanja[emoji38][emoji38][emoji1787]
Kuna mmojwapo kapotea humu na ananangwa kweli kwenye huu uzi sasa cha ajabu kwa ID nyingine kakomenti qoute anayochambwa nayy anajichamba tena vibaya mno[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]
Humu kuna vichaa asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hakii mmetuamulia leo! [emoji134][emoji134]
Tunalo leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!Hahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni Bampa to Bampa ni kukinukisha mwanzo mwishoTunalo leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!
Nishaweka Kambi rasmi [emoji144][emoji23][emoji12]Ni Bampa to Bampa ni kukinukisha mwanzo mwisho
Na hakuwa na shida na mtu, basi tu waja sijui wana nini!Katika wanawake niliokuwa napenda kila siku nisome uzi au comments zake alikuwa mchizi Demiss huyu dada alikuwa na kitu pekee juu ya uwakilishi wa maandishi yake. Niwe mkweli nimemmiss sana huyu dada Demiss la Lara1.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Pitia huu uzi unakutana na hicho kisa..Ilikuaje