Mara moja moja siyo mbaya.[emoji28]Sasa mbona kakaa kimya milele? Ngoja niendelee kutiririka, nimekuwa mpenzi wa mbuyu(ubuyu), hata sifurahii hii tabia[emoji23][emoji23][emoji125]
Nilichogundua babu humu tutulize akili sana,watu wanafake sana life humuNoma kweli yani
Humu ni insta iliochangamkaNilichogundua babu humu tutulize akili sana,watu wanafake sana life humu
Unaniamrisha niweke wazi ila sio kazi nyepesi inataka muda ambao sina, na hata hivyo siwezi onesha chats za PM kwa hao "wadogo zake" matapeli. Ukitaka maelezo zaidi omba mods wafungue ule uzi alafu usome mwanzo mwisho. Najua ulikuwepo na uliona ila unakomaa kusema tuoneshe ushahidi. Nyinyi ndio mlimkuza bichwa kwenye ule uzi akajikuta untouchable akajikuta ana watu mwishowe akapigwa na kitu kizito kichwani (nishasema sikubaliani na siri zake kuwekwa nje)Kama anasaidia na anasema basi ni hiari yake.
Kwani tatizo liko wapi??
Na kama anachangia kila nyuzi na anajua kila kitu mbona haizuiliwi..
Hata wewe ukiamua unaweza kuchangia kila kitu.
Unaandika kwa hisia na kwa ramli mno..
Yaani hadi yeye kufahamiana na watu nyie mnaumia!
Chaaa!!!!
Hebu weka wazi na vielelezo vya koneksheni na huyo wangari na matapeli.
Na muweke vithibitisho kuonyesha kwamba aliwatapeli,,,msiongee kwa mihemko tu.
🤣🤣🤣 wangeacha tu wengine huku ndio uwanja wa kuvimbia since hatufahamiani sura.Humu ni insta iliochangamka
Mpauko simjui wala sijui walisaidiana nini ila nakumbuka kama vile aliwahi kuishi na Wangari somehow. Ninaowasema ni Sivan na Umomi, nimewataja kwa kuwa ID zao ziko banned muda sasa na sio active.Kumbe sio mpauko maana Wangari ndo alileta habari za msiba wake hapa na pia mpauko alikuwa na I'd mbili.
Hata Mzee Mwanakijiji alikuwa anampango wa kumsaidia katika hatua hiyo na. Kuja kuona. Uzi humu kuwa jamaa kalala zake
🤣🤣🤣 na kwanini aseme?Mtu anabadili ID afu hasemi, kwani ukisema kuna nini? Nani anakujuwa wewe!!!!
Mnajichosha tu 🤣🤣🤣Mpauko simjui wala sijui walisaidiana nini ila nakumbuka kama vile aliwahi kuishi na Wangari somehow. Ninaowasema ni Sivan na Umomi, nimewataja kwa kuwa ID zao ziko banned muda sasa na sio active.
Muda wa kueleza sana sina ila niliposoma ID zao
nikacheki mada zao na majibu yao wawili plus yule dada wakiwa kwenye nyuzi. Nikaunganisha na mikakati ya kuchanga hela waliyonipa uko PM. Maelezo yao ni tofauti kila uzi na nilikataa wazo lao. Siku chache baadae Sivan akatangaza Umomi kafariki ila kuna members wakakataa na reasons za mashiko. Ndio nikaraise doubt yawezekana hizi attempt sijafanyiwa mimi pekee. Hao walikuwa wanaitwa wadogo zake na waliwahi kubadili ID, since hapo sikuwahi muamini 100% huyo dada na sio kosa.
Saint Anne hakuna sehemu nimesema huyo bosslady alikuwa tapeli. Nimesema alikuwa anatetea matapeli, kama kwako hili ni sawa basi Alleluya. Unataka ushahidi wa kutetea matapeli? Omba ule uzi ifunguliwe na mods
Aaah kwani Mpauko ndio Miguu ya Kuku? Basi itakuwa nilikuwa napotezea mada zakeHuyo Mpauko/Miguu ya kuku alifariki kweli.
Saint Anne, kuna wakati mtu inabidi u lay low. Kikisemwa kile upo, hiki unajua, kingine ulikuwepo...yaani mtu unasima hadi unajiuliza huyu kiumbe mbona ni omnipotent, hata sir God hamfikii kwa info na mambo anayofanya hapa duniani [emoji23][emoji23].Kuna wapumbavu wanajichumia dhambi tu hapa
Tuna muda wa kupoteza[emoji1]Mnajichosha tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nakwambia Mwaka huu hauishi sijakuanika😅,ntaleta na screenshots!!!Unatafuta namna ya kunianika na wewe? Sitaki[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuta yule ni weweYule uwa apoteagi humu,anabadilishaga id tu ila uwa abadilishi mwandiko wake,possible amebadilisha id tena sema amenyuti tu au kaja kivingine
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] ila we jamaa bana khaa!Unaniamrisha niweke wazi ila sio kazi nyepesi inataka muda ambao sina, na hata hivyo siwezi onesha chats za PM kwa hao "wadogo zake" matapeli. Ukitaka maelezo zaidi omba mods wafungue ule uzi alafu usome mwanzo mwisho. Najua ulikuwepo na uliona ila unakomaa kusema tuoneshe ushahidi. Nyinyi ndio mlimkuza bichwa kwenye ule uzi akajikuta untouchable akajikuta ana watu mwishowe akapigwa na kitu kizito kichwani (nishasema sikubaliani na siri zake kuwekwa nje)
Sisi tulimpinga kwenye kuwananga wanaotapeliwa na kuwaambia wana makosa kila uzi. Mtu katapeliwa 100,000 akija kusema Wangari anasema yeye alitapeliwa 300,000 na wanaJF ila hasemi. Anaanza kumzodoa aligetapeliwa eti hayuko makini.
Alimtetea tapeli wa Murano kuwa labda kafa. Nikamuuliza mtu aliyekufa ndio simu hapokei, WhatsApp anaignore, JF anakuwepo ila hajibu PM? Akaanza story za kusaidia watu. Mwishowe kitu kizito kikadondoka, wafuasi wake wamebaki wakiwa. Walikuwa wanamuamini mpambanaji wao mwenye sijui mashimo ya dhahabu na connection kibao hapa mjini
😂😂Dah!!Unaweza kuta yule ni wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haaaaaa arooooooh.Unaweza kuta yule ni wewe
Tunaanza lini sasa kuvimba 😂🤣🤣🤣 wangeacha tu wengine huku ndio uwanja wa kuvimbia since hatufahamiani sura.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakwambia Mwaka huu hauishi sijakuanika[emoji28],ntaleta na screenshots!!!