Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Kama anasaidia na anasema basi ni hiari yake.
Kwani tatizo liko wapi??

Na kama anachangia kila nyuzi na anajua kila kitu mbona haizuiliwi..
Hata wewe ukiamua unaweza kuchangia kila kitu.

Unaandika kwa hisia na kwa ramli mno..
Yaani hadi yeye kufahamiana na watu nyie mnaumia!
Chaaa!!!!

Hebu weka wazi na vielelezo vya koneksheni na huyo wangari na matapeli.
Na muweke vithibitisho kuonyesha kwamba aliwatapeli,,,msiongee kwa mihemko tu.
Unaniamrisha niweke wazi ila sio kazi nyepesi inataka muda ambao sina, na hata hivyo siwezi onesha chats za PM kwa hao "wadogo zake" matapeli. Ukitaka maelezo zaidi omba mods wafungue ule uzi alafu usome mwanzo mwisho. Najua ulikuwepo na uliona ila unakomaa kusema tuoneshe ushahidi. Nyinyi ndio mlimkuza bichwa kwenye ule uzi akajikuta untouchable akajikuta ana watu mwishowe akapigwa na kitu kizito kichwani (nishasema sikubaliani na siri zake kuwekwa nje)

Sisi tulimpinga kwenye kuwananga wanaotapeliwa na kuwaambia wana makosa kila uzi. Mtu katapeliwa 100,000 akija kusema Wangari anasema yeye alitapeliwa 300,000 na wanaJF ila hasemi. Anaanza kumzodoa aligetapeliwa eti hayuko makini.

Alimtetea tapeli wa Murano kuwa labda kafa. Nikamuuliza mtu aliyekufa ndio simu hapokei, WhatsApp anaignore, JF anakuwepo ila hajibu PM? Akaanza story za kusaidia watu. Mwishowe kitu kizito kikadondoka, wafuasi wake wamebaki wakiwa. Walikuwa wanamuamini mpambanaji wao mwenye sijui mashimo ya dhahabu na connection kibao hapa mjini
 
Kumbe sio mpauko maana Wangari ndo alileta habari za msiba wake hapa na pia mpauko alikuwa na I'd mbili.
Hata Mzee Mwanakijiji alikuwa anampango wa kumsaidia katika hatua hiyo na. Kuja kuona. Uzi humu kuwa jamaa kalala zake
Mpauko simjui wala sijui walisaidiana nini ila nakumbuka kama vile aliwahi kuishi na Wangari somehow. Ninaowasema ni Sivan na Umomi, nimewataja kwa kuwa ID zao ziko banned muda sasa na sio active.

Muda wa kueleza sana sina ila niliposoma ID zao
nikacheki mada zao na majibu yao wawili plus yule dada wakiwa kwenye nyuzi. Nikaunganisha na mikakati ya kuchanga hela waliyonipa uko PM. Maelezo yao ni tofauti kila uzi na nilikataa wazo lao. Siku chache baadae Sivan akatangaza Umomi kafariki ila kuna members wakakataa na reasons za mashiko. Ndio nikaraise doubt yawezekana hizi attempt sijafanyiwa mimi pekee. Hao walikuwa wanaitwa wadogo zake na waliwahi kubadili ID, since hapo sikuwahi muamini 100% huyo dada na sio kosa.

Saint Anne hakuna sehemu nimesema huyo bosslady alikuwa tapeli. Nimesema alikuwa anatetea matapeli, kama kwako hili ni sawa basi Alleluya. Unataka ushahidi wa kutetea matapeli? Omba ule uzi ifunguliwe na mods
 
Mnajichosha tu 🤣🤣🤣
 
Kuna wapumbavu wanajichumia dhambi tu hapa
Saint Anne, kuna wakati mtu inabidi u lay low. Kikisemwa kile upo, hiki unajua, kingine ulikuwepo...yaani mtu unasima hadi unajiuliza huyu kiumbe mbona ni omnipotent, hata sir God hamfikii kwa info na mambo anayofanya hapa duniani [emoji23][emoji23].

Kuna siku nilimwambia mtu mmoja, hem punguza kidogo basi, mbona it's like unajua kila kitu, nikaambulia tysi, Ila ukweli katika jamii tujifunze kusikiliza kidogo, tuongee na kusikiliza pia.

Sijamsema mtu.
 
Unaniamrisha niweke wazi ila sio kazi nyepesi inataka muda ambao sina, na hata hivyo siwezi onesha chats za PM kwa hao "wadogo zake" matapeli. Ukitaka maelezo zaidi omba mods wafungue ule uzi alafu usome mwanzo mwisho. Najua ulikuwepo na uliona ila unakomaa kusema tuoneshe ushahidi. Nyinyi ndio mlimkuza bichwa kwenye ule uzi akajikuta untouchable akajikuta ana watu mwishowe akapigwa na kitu kizito kichwani (nishasema sikubaliani na siri zake kuwekwa nje)

Sisi tulimpinga kwenye kuwananga wanaotapeliwa na kuwaambia wana makosa kila uzi. Mtu katapeliwa 100,000 akija kusema Wangari anasema yeye alitapeliwa 300,000 na wanaJF ila hasemi. Anaanza kumzodoa aligetapeliwa eti hayuko makini.

Alimtetea tapeli wa Murano kuwa labda kafa. Nikamuuliza mtu aliyekufa ndio simu hapokei, WhatsApp anaignore, JF anakuwepo ila hajibu PM? Akaanza story za kusaidia watu. Mwishowe kitu kizito kikadondoka, wafuasi wake wamebaki wakiwa. Walikuwa wanamuamini mpambanaji wao mwenye sijui mashimo ya dhahabu na connection kibao hapa mjini
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] ila we jamaa bana khaa!
 
Back
Top Bottom