Demiss amepotelea wapi?

Bia Yetu

Ncha Kali..
 
Demis walimlipuaga humu wakaanika picha zake,nadhani ni mwalimu huko dodoma.
Sasa picha zake sura ina pua kubwa" kweri kweri", wana wakawa wanaponda,akaonelea abadili ID ,akajiita muzine,hata hivyo imepoa. Au ana ID nyingine ambayo hatujaigundua.
 
Popote ulipo Demiss, Masai Dada, Mama Facebook, mjifanye kama mnajikuna popote mlipo tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…