Demiss amepotelea wapi?

mkuu unayodhani sio kabisa naweza nikakupa na majina ya niliokutana nao humu wanajishaua na wengine wamama walinitongoza kabisa..
Yaani ni cheap sanaa
Wanaigiza wanamaisha mazuri sana na sisi tunaigiza tumechoka sana ila wote tunadanganya
 
Ukweli ni kwamba Demiss alikuwa anachangamsha upande wa Chit chat
 
Sikujua muda kinachoendelea humu ila ipo siku moja mwenye Id hiyo alini-attack vibaya kwenye uzi nadhani ulikuwa jukwaa la ujenzi yaani vile alivyoandika ukiwa mwepesi ungeweza kuamini labda anamiliki ghorofa somewhere kumbe alikuwa mala.ya tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaigiza wanamaisha mazuri sana na sisi tunaigiza tumechoka sana ila wote tunadanganya
Fanya iwe kinyume nyume sasa ila wenye safi wapo hapa matapeli wapo hapa,wadangaji kama nanii.. Wapo hapa matajiri na maskini wapo hapa.

Halafu kuna mmoja majuzi kuna jamaa ananilalamikia katapeliwa nae
 
Yule dada ni mpiganaji Na anatafuta pesa achen kumsema vibaya
Kila mtu ana mapungufu yake humu tusihukumiane
Read me between the lines sister sijamuhukumu mtu mimi!!!

Ningeweza ku-success kule alikonikot niipandishe hapa post yake ungesema tofauti na ulivyoandika hapo juu,well upambanaji upo wa aina nyingi so sikukatalii kwamba alikuwa mpambanaji.
 
Lord have mercy

Mbitiyanza ni Manengelo kumbe?

Hivi mimi nimelogwa au naota?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ukikumbuka ulivokua unatembelea hizo id mwili wote unakufa ganzi.

unaenda kwa mbiti unatupia maneno, unarudi kwa manengelo unatupia vitu, unamfungua na wangari unatupia muneno mutamu mutamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nlikua kwetu mabwepande nasaga vumbi, hata smartphone skua naijua.
Eeeh sasa wanazengo tuna mikanda yote flashback za kutosha uwe umekidhi vigezo tu ikiwemo
Cheti cha kuzaliwa, form 4 na 6
Kitambulisho cha nida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…