Demiss amepotelea wapi?


Twin [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu wacha maneno mingi hebu niflash ule mtandao unaopatikana tarakimu zisome fasta ukajipoze na cider kadhaa kwanza
Babuuu njoo kule maeneo bas, unajua unanipa ahueni, naanza kuhis joto linapungua ujue? [emoji23][emoji23]
 

Mambo ya Pm yabaki pm [emoji2957]
 
Shida mwanaume anaona hio ndo njia pekee ya kumkomoa mwanamke..!! Ukijidai Queen na watu wanakujua wanakushusha tu japo sio Poa kabisaaa...
Wangekomaa na I’d zao hizohizo hakuna kubadilisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida inakuja zaidi pale unapewa namba ya voda, tigo na airtel utume na tozo, kumbe miamala yote ni ya mtu mmoja....umepitia mengi Aspirin acha tu ujinywee zako kvant kuupa mwili pole 😁
Kibaya zaidi mama mzazi unamwambia sina hela afu huku unatuma miamala kwa mchuchu mmoja kwenye namba tatu tofauti. Dhambi inaongezeka zaidi pale unapotuma na ya kutolea kabisa....

Mimi acha nirudi kundini kumbe JF imekuwa kama badoo
 
Huu Uzi km ule wa utata wa kifo cha Dr omary Ali juma

Aiseee,,
Kuna kundi la wanawake cjui ni wanaume ila I'd za kike. Wanatetea wanatikwa jasho na walio rest in peace, siku za mwizi 40 walio warestisha mda huu wataonekana wabaya (kulingana na nguvu kubwa ya matapeli waliopo) ila baadae itasaidia kuokoa vijana wetu hasa magraduates, itasaidia mwenye forums kujitetea kuwa hii forums si ya kitapeli km hizi za BADOO n.k pia itasaidia tuiamini JF milele, acheni kuwaponda wanao warestisha matapeli otherwise Itakuwa na wewe ni tapeli.

Ili JF iwe salama pamoja na mmiliki acheni mambo yawe wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…