Demiss amepotelea wapi?

Shoo yataka moyo wa chuma !!jus imagine anaweka sura yako na mambo yako hadharani mkwee...wee acha tu best yaani usiombe ukutwe na bwana Pepsi!!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Huyo demis baby wake aliyekuwa ana msifia ndio alimu expose kwa I'd yake nyingine baada ya kutoka na wengine nilisikitika sana
 
Hahahahahahahaha [emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]


Twin hapana asee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Twin niache
 
Ila Demiss aliniuma kuondoka. Nilikuwa napenda stories zake wala hakuwa na shida na mtu, harakati zake uko na watu hazinihusu mradi hakuwa anaumiza watu. Alipoondoka nilipunguza kusoma MMU

Mwandiko wake unafanana na wa dada (... la kipekee)
Hakuwa mzuri kama jina lake lilivyo sound....
 
Nashangaa mbona uzi wangu hausongi kule kumbe Mmekuja kusutana na kuvuana ngup huku[emoji852][emoji852][emoji852]...!! Hakuna mahusiano ya Jf yanayoishaga salama yani lazima MWANAMKE ATADHALILISHWA TU.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji23]pole kaka...kulana kimasihara kunaleta taaaabuuu!!!

Sio wote wapuuzi baadhi ya wanaume waungwana sana!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Wajinga huongea sana waerevu husikiliza sana
 
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…