Nime mu miss demis hakuwaga na shida na mtu ila baadhi ya wanaume wajinga humu wakumu expose identity yake kitu ambacho niliona ni ujinga, na baadhi ya watu wa humu Wana stress na depression wanafikiria ku reveal identity ya mtu ni kujiponya nafsi zao kumbe ni ujinga, vile vile wangari mathai sikuonaga kosa lake kila mtu humu yuko entitled na opinions zake why attack her tujifunze kuheshimu wengine mie mwenyewe Kuna watu sikunaliana nao ila siwezi kuweka chuki moyoni na ku exposeana humu sijui ni hela zinaomgezekaga kwenye account, na wanawake mlioko humu kuweni makini hao wanaojifamya marafiki wema ndio husambaza taarifa zenu.
N. B mie yalishanikuta dhahama kuzalilishwa Ili niache ID yangu pendwa ya 6 years nawaambia siiachi kabisa nadunda na Yesu humu JF. Nitaiacha nikiamua mwenyewe sio shuruti la waja humu.
Nawapa pole wanawake wote ambao ni victims humu na mods huwa hawaondoi hzo habari tofauti na wanaume huondoa haraka hizo threads