Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan najuta kuchelewa kujiunga JF, kulikua kwa moto, uwiiiiih
Hahahaha...kawaida tu kila kitu kina sababu pia!nashukuru nakutana na waungwana hawanaga mambo meusi..Nawaombea pia waendelee hvyo hvyoo!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mbna unanitisha ujue? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine wasivyopendwa humu, wataanikwa na picha zao, bora kuwa mpoleeeh tyuuh.
Am telling you mtu akiamua kukoutshine tu..baasi so be careful...very careful dear japo kuna wema tena wengi Sana...kwenye mamba na kenge wamo!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
yule jamaa aliemlipua siku ile si akapigwa ban ya maisha?
Nakumbuka ilikuwa mwisho wa mwezi demiss akaweka picha akidai anakula mshahara hotelini

Kumbe siku hiyo alikuwa na huyo jamaa pembeni ananyanduliwa
Jamaa akazileta picha full baadae dah
Sasa kwa nini amlipue si kweli alikua anakula mshahara wake jamanii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!daaah!!!kwani si wameuziana?au alikua mmewe au mpenzi wake kampa bure...?!!
Kaazi wallahi..!!
Anyway yote maisha!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Nime mu miss demis hakuwaga na shida na mtu ila baadhi ya wanaume wajinga humu wakumu expose identity yake kitu ambacho niliona ni ujinga, na baadhi ya watu wa humu Wana stress na depression wanafikiria ku reveal identity ya mtu ni kujiponya nafsi zao kumbe ni ujinga, vile vile wangari mathai sikuonaga kosa lake kila mtu humu yuko entitled na opinions zake why attack her tujifunze kuheshimu wengine mie mwenyewe Kuna watu sikunaliana nao ila siwezi kuweka chuki moyoni na ku exposeana humu sijui ni hela zinaomgezekaga kwenye account, na wanawake mlioko humu kuweni makini hao wanaojifamya marafiki wema ndio husambaza taarifa zenu.
N. B mie yalishanikuta dhahama kuzalilishwa Ili niache ID yangu pendwa ya 6 years nawaambia siiachi kabisa nadunda na Yesu humu JF. Nitaiacha nikiamua mwenyewe sio shuruti la waja humu.
Nawapa pole wanawake wote ambao ni victims humu na mods huwa hawaondoi hzo habari tofauti na wanaume huondoa haraka hizo threads
 
Back
Top Bottom