Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

NAOMBA KUTOLEA UFAFANUZI DHIDI YA HUU UZI WANGU.

Kwanza nimeshtushwa sana na mjadala ulioibuka mara baada ya mie kuweka huu uzi wa kuwaulizia wana familia wenzetu kadhaa akiwemo Demiss.

Ieleweke kwamba niliuliza tu kwa roho safi na si kwaajili ya kufukua mambo ya nyuma ambayo sikuyajua.Miezi kadhaa sikuingia humu kwa sababu ninazozijua mimi mwenyewe.Kwahiyo sikujua kilichotokea dhidi ya Demiss,na hao members wengine.

Hata hivyo Demiss simjui,kwa maana ya sikuwahi onana naye,bali alikuwa just my fellow member kama members wengine wa humu.Sikuwahi onana naye wala kuiona picha yake.

Nimeijua Jamiiforums 2010,na nikajiunga rasmi 2014 kama sikosei,so nikawajua baadhi ya members kuwa ni prominent na huwa wapo muda wote.

Sasa siku za hivi karibuni sijaona michango yake wala akiwa online, so nikauliza tu kutaka kujua na si et kufukua jambo lililowahi mpata.Naomba nieleweke.

Samahani,naomba anisamehe huko aliko.Pamoja na members wengine waliojadiliwa negatively.

WITO:

Kama umejuana na mtu humu,mkafikia hatua flani flani za mapenzi,please chukulianeni kibinadamu na utu wa kuwekeana SIRI na si kuanikana jamani.

Nimeogopa sana sana.

Mungu awabariki.
Sawa kaka tumekuelewaa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
ila wanaume muwe na huruma kama Mimi nimeziponya mbunye za wadada wengi kwa kuamua kuwaacha badala ya kuwanyandua kumbukeni waume zao wajameni

Nb:usisahau kuvaa kondom😁😁
Hongera aisee, mimi huwa nakula nao dinner ila suala la kuwala hapana nawaheshimu kama wadogo zangu wengine kama wototo zangu ila kitu kimoja wadada wa humu pia hawajutulia leo atatoka na huyu kesho atatoka na huyu.

Kwa wote niliokutana nao kuna mmoja huyu kwanza ni smart sana huwezi mkuta hata kwenye nyuzi za mapenzi, she is very unique sikuwa na lengo la kumla ila kwa jinsi alivyo mzuri nikajikuta natoka nae namheshimu sana maana yuko smart na hutomuona akizozana humu wala kushinda humu masaa 24 yule hata kama haniombi hela huwa namtumia tu, popote M pokea heshima yangu.

Huyu tangu nianze kumfahamu yeye peke yake ndio alishizika akili zangu kwa 100%
 
Kusema wangekua wanasema toka zamani.

Tatizo linaanza kua, Tayari ameshaliwa .


Ataanzaje kusema ?? Ni mwanamke Mwenye uthubutu ambaye hatojali ,ndio atafanya ivo.


Ndio maana wengi wa watendwa. Wanakaa kimyaa, wanaumiaaa. Wameishia kubadili ID na kuamzisha nyingine n.k


Utafanyaje ??

UNAJUA NYINYI WANAWAKE MKIPENDA, MNAZAMA KICHWA KICHWA.


pengine mpaka unamrushia MTU picha za utupu.


Au anakujua kila kitu..


Haya utafanyaje ????.



Ila niseme, Wanawake wengi wa Humu ni Matured ,wamekua kiumri na wanaakili.


Tatizo lipo Kwa wanaume, na Wanaume hawajiamin, umasikin wa kipato. Umasikin wa Elimu, na maisha ya ujanjaujanja.

Sasa anapoona ,karibia aumbuke, anakutafuta Visa, mnaachana, anajiwahi kukunanga !!.




ni wanawanawake wachache Sana ambao wanatabia izo..... Na ukute ni wale waswahili swahili
Ipo tu siku vitaanikwa hapa..[emoji23]
 
Kusema wangekua wanasema toka zamani.

Tatizo linaanza kua, Tayari ameshaliwa .


Ataanzaje kusema ??
Cha mdeko akichafukwa alikua na guts .. kama mattako yamepauka anakusema ukimpandisha bodaboda wigi lake likapigwa upepo mpaka anafika limechambuka wakati yeye alitaka tax au uende kumfata na gari lako anakusema.. haha ukijifanya mwanaume mwanaume kweli kumbe njaa Kali tu anakupa mpaka!
Yani alikua anatuburudisha sana naule utani utani humohumo unapata ujumbe!
 
Wacha tusubiri tuone !!!

Na mnavyojua Kuongea..


Hiyo siku mtatuua.



Ewe Bidada, uliyefanikiwa kuniona ,tukajuana..

Nipo chini ya miguu yako , Mimi ni mweusii tiii, mbwemba, Mbaya wa sura .

Nikiwa natembea kwambali unaweza ona ni "Kamzimu kanakuja".



Tafadhali, usije kunimwaga humu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom