reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Sawa kaka tumekuelewaaNAOMBA KUTOLEA UFAFANUZI DHIDI YA HUU UZI WANGU.
Kwanza nimeshtushwa sana na mjadala ulioibuka mara baada ya mie kuweka huu uzi wa kuwaulizia wana familia wenzetu kadhaa akiwemo Demiss.
Ieleweke kwamba niliuliza tu kwa roho safi na si kwaajili ya kufukua mambo ya nyuma ambayo sikuyajua.Miezi kadhaa sikuingia humu kwa sababu ninazozijua mimi mwenyewe.Kwahiyo sikujua kilichotokea dhidi ya Demiss,na hao members wengine.
Hata hivyo Demiss simjui,kwa maana ya sikuwahi onana naye,bali alikuwa just my fellow member kama members wengine wa humu.Sikuwahi onana naye wala kuiona picha yake.
Nimeijua Jamiiforums 2010,na nikajiunga rasmi 2014 kama sikosei,so nikawajua baadhi ya members kuwa ni prominent na huwa wapo muda wote.
Sasa siku za hivi karibuni sijaona michango yake wala akiwa online, so nikauliza tu kutaka kujua na si et kufukua jambo lililowahi mpata.Naomba nieleweke.
Samahani,naomba anisamehe huko aliko.Pamoja na members wengine waliojadiliwa negatively.
WITO:
Kama umejuana na mtu humu,mkafikia hatua flani flani za mapenzi,please chukulianeni kibinadamu na utu wa kuwekeana SIRI na si kuanikana jamani.
Nimeogopa sana sana.
Mungu awabariki.
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app