reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Kuna visu km mzigua,dinazarde weeeee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]hao wanaosema wabaya wanawake wa humu sijui ht wamewatoa wapi...!!!Hili ni la msingi sana, watu wawe na vifua vya kutunza siri. Mkikulana vungeni, mkishindwana basi yaishe jukwaju!
Ila jf ina wadada wazuri sio poa jamani!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app